Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lukaku anacheza?Dk 57 japani 2 Belgium
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kukomenti tu huu Uzi wa mdaa jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Hahahahahah*Padri alikuwa anafuga kuku.* *Siku moja jogoo akapotea*. *Basi akaamua kutangaza Kanisani.*
*PADRI: Wangapi wana jogoo?* *Wanaume wote wakasimama.*
*PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi* *wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.*
*PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni!* *Wangapi wamemuona jogoo wangu??* *Masista wote wakasimama.*
*PADRI akapoteza fahamu...!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?
Lukaku ,hazard wanaluka luka tuJapan 1
Dakka 47
Bado wana dakika 28 tu kuweka rekodiVijapan vinapata bao
HahahaTumezoea njia kuu....kuchepuka mwiko[emoji23][emoji23]
Uwongo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Dk 65 mbili bilaJapan 2
Dakka 51