Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446304262_176617.jpg
 
Rafiki angu m1 Mkenya ameniambia Anaenda "kubomoa Kichwa" nikasema Mama yangu anaenda Kujiuaa,
Kumbe anamaanisha anaenda Kufumua Nywele,
Wakenya ongeeni tu Kingereza Chenu, Mtatuua kwa Presha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
When your girlfriend is so damn good in bed[emoji4][emoji4][emoji5][emoji23][emoji23] But very lazy at doing house chores..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Your relatives will be complaining but you be like; "You people don't know this girl"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Beki Sergio Ramos amesema hatastaafu soka ya kimataifa licha ya Hispania kung’olewa katika Fainali za Kombe la Dunia.

Nahodha huyo alisema anatarajia kucheza Fainali za Kombe la Ulaya zilizopangwa kuchezwa nchini England.
 
Pia, alisema ndoto yake ni kucheza Fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kuchezwa nchini Qatar mwaka 2022. Beki huyo wa kati mwaka 2022 atakuwa amefikisha miaka 36.

Ramos amekataa kufuata nyayo za mchezaji mwenzake nguli wa timu hiyo Andres Iniesta ambaye ametangaza kustaafu soka ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom