mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaweza kuwa kweli au si kweli....Ngoja tusubiriHivi ni kweli?[emoji20]
Kumbe Belgium walikua wanataka wafungwe kwanza ndio waanze kucheza....huu ss ndio mpira wanachezaMbili moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]over 2.5 nini?Mkeka wangu ulitaka kuchanika
HahaPale mitambo ya whatsap itakapozima ghafla kama jeiefu ndo mtaelewa...[emoji23]
Hapa Japan wanaweza chezeaKumbe Belgium walikua wanataka wafungwe kwanza ndio waanze kucheza....huu ss ndio mpira wanacheza
Endelea kuomba dua lako tuMkuu hapo naweka dau na bet Japan nje
Mambo moto motoBelgium mambo hayaendi sawa....
Hawana uwezo huoHivi ni kweli?[emoji20]
Wamesharudisha mkuu mbili mbiliAkina Lukaku itakuwa walitudharau hutu tujamaa tucheza kungfu