mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mechi ngumu sana
Utamu wa pipi mate yako tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji973][emoji973]View attachment 800996
NdiwooooooPyaarrrrrr
SafiWatumiaji mitandao ya kijamii Uganda hawana mahala pa kujificha kukwepa tozo la kodi ya mitandao ya kijamii iliyoidhinishwa na serikali.
Agizo jipya limetolewa kwa makampuni ya mawasiliano Uganda kuzuia mfumo unaoruhusu watumiaji mitandao kuweza kuingia katika mitandao hiyo -VPN - ambao baadhi ya wateja sasa wanaitumia kuvuka vizuizi vilivyowekwa kuwaruhusu kuingia katika mitandao hiyo ya kijamii na kukwepa kulipa Kodi.
Sasa serikali imesema hilo linaelekea kwisha. Wanachi watakuwa hawana njia ya kukwepa kulipa kodi ya mtandao.
Hahahahahaha! KweliUtamu wa pipi mate yako tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]