Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
AiseeeFT. Belgium 3 Japan 2
Nani tena huyo?Duh naona mtandaon wanasema kuna mbunge kafariki
Mbila bila unakuja kurudisha na cha ushindi juu hahaha niko happy sana leoNko poa man, nafurahia kuadhibiwa kwa Japan saa hii.
HaikutarajiwaAiseee
Wa wapi NumbiDuh naona mtandaon wanasema kuna mbunge kafariki
HahahaHawabelgium ni kama tindo tu, walisubili wagongwe ili wafanye kazi
Brazil wanalo hapaHawabelgium ni kama tindo tu, walisubili wagongwe ili wafanye kazi
Umeponea tundu la sindano. Usirudie tena [emoji16][emoji16][emoji16]Leo mdosi kaliwa
Nilijua Belgium atashinda hila baada ya mbili bila dah niliona kiza kineneHaikutarajiwa
Hiyo siku nitakuwa upande wa BelgiumBrazil wanalo hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeponea tundu la sindano. Usirudie tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Japanese keeper loves a dramatic save by the wAY there is always the other coin's side. @NigeriansMbila bila unakuja kurudisha na cha ushindi juu hahaha niko happy sana leo