[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Yaani ni kumkataa shetani naye atatukimbia na kila hila zake
Na tuna mpango wa kubadilisha katiba miaka nane nane aisee watakoma kulinga 16 yrs hahaha naona watu kama wanataka kutoa mapovuTrue, alafu utakuta mtu anajipa ma stress ya bure na hakuna litakalo fanyika mpaka muda wake uishe!
Life is wonderful!
Enjoy living in life!
AminaNi vema tena ni haki kwa kweli kweli
KabisaKwa kweli...Binadamu hatueleweki
Na mambo yake yoteYaani ni kumkataa shetani naye atatukimbia na kila hila zake
kweli kabisa..Unamiliki suti ngapi, viatu jozi ngapi, kofia ngapi, mashati mangapi na mikanda mingapi na soksi pea ngapi? Ukihesabu bila shaka hautakosa kugundua kuwa ni mavazi ya kukuwezesha kusukuma wiki moja au mbili hivi bila kurudia.
Tema mate chini[emoji23]Na tuna mpango wa kubadilisha katiba miaka nane nane aisee watakoma kulinga 16 yrs hahaha naona watu kama wanataka kutoa mapovu