Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji110]
Screenshot_20180703-121436.jpg
 
*NENO LA LEO:*
*ZAB 146:1-2*
"Haleluya.
Ee nafsi yangu, umsifu BWANA
Nitamsifu BWANA muda ninaoishi,
Nitamwimbia Mungu wangu ningali hai"

Umepata muda wa kumshukuru Mungu kwa kukuvusha nusu mwaka salama? Au kwakuwa kwako malengo ya nusu mwaka hayakutimia hivyo umebakia kulaumu?
Mungu wangu na akukumbushe wema na ukuu wake kwako ili upate kumsifu katikati ya magumu yako.
*ASANTE MUNGU KWA NUSU MWAKA*

[emoji1488][emoji1488]
 
Back
Top Bottom