mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wachague kimoja sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo, kama umbo umbo, sura sura kama akili akili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanataka vyote umbo sura na akili kitu ambacho mara nyingi hakiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo, kama umbo umbo, sura sura kama akili akili.
Mola atupe amani na furaha tu!Na tuna mpango wa kubadilisha katiba miaka nane nane aisee watakoma kulinga 16 yrs hahaha naona watu kama wanataka kutoa mapovu
Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanataka vyote umbo sura na akili kitu ambacho mara nyingi hakiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23]
NipogoUpoo
Utapata taabu sana...Mimi weekend hii nitakuwepo Handeni