andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Eeéeeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama huyu inasemekana ana familia na mkewe ana mimba halafu anafia gesti na mchepuko. Ni aibu sana wakati kitu yenyewe wala haikomolewagwi hata uitwange usiku kucha. Sana sana utaondoka na maumivu ya mgongo na dehydration bure tu. Shwainiiii [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️