Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amekufa akitetea heshima ya ukoo...


On a serious note: Maviagra haya, mara vumbi la Kongo, mara mkuyati halafu unasindikizia na Red bull na/au kijibapa kama una tatizo la moyo (ambalo hulijui) aisee ni hatari sana. Anyway, naye safari yake kaikamilisha kivyake. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amekufa kiume
 
Ba! Mbona kuniogopesha hivoo.
Kumbe sio ntu nzuri huyu Andjul?
[emoji445][emoji443][emoji444]Fyoko fyoko fyokooooo [emoji445][emoji443][emoji444]
Usinichonganishe bana. We pambana na hali yako ila UTAPATA TAABU SANA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Pyaar lambalala apa, fula imyenda, inula ikilundi kumwanyaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haya mambo sijui bado yapo vijijini?
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] "niliishuhudia m(ki)tanda(o)ni" tokotoko.... Ungeipata laivu ingevutia ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul bana umenichekesha,nimetoka insta full majonzi kuna mtoto staa kafariki ila hii coment yako kiboko[emoji23][emoji23]
 
Yegomasika sitakaa nimsahau. Watu tunahangaika mpaka hatulali halafu yeye vu bin vu zali likamuangukia akaanza nyodo eti mgumu. Mgumu mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikaona kanamlilia Numbisa muda fulani hivi,hata sijui kamepotelea wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sina account insta,mngenishtukia zamaan.nipo huku na KT na watsup pekee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna acc moja IG na mie nishaishtukia ni yako.....
Kuna mwingine pia katka huu uzi sema yeye anatokea mara chache sana kwenye uzi...Leo nimeona kapost mara moja kapotea.
 
Back
Top Bottom