Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

_*Jamaa kalala kwenye kitanda cha dabo halafu ile siti ya juu kulikua na binti kalala huko*_

_*Kati kati ya usiku jamaa kapanda kule juu kwa binti taratiiiibu, ile kumgusa tu binti akashtuka na kuuliza, umefata nini huku*_

*_Jamaa akajibu nimedondoka_*
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
unnamed.jpg
 
*maandiko yanasema ukimtazama MWANAMKE kisha ukamtamani tayari UMESHAZINI.......[emoji25][emoji25] na BARIDI HII nikitazama MAJI na SABUNI ...TAYARI NSHAOGA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
 
Back
Top Bottom