Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
11. Timu yake mpya ilianzishwa mwaka 1966.
12 Amecheza Hispania mechi 131 amefunga mabao 14.
13 Ana mashabiki wasiopungua 24 milioni ‘facebook’.
14 Amefunga bao katika mechi yake ya mwisho kwa Hispania wakati wa upigaji wa penalti dhidi ya Russia.
15 Iniesta alimuoa Anna Ortiz, Julai 8, 2012.
16 Ana watoto watatu, wasichana wawili Valeria, Siena na Paolo Andrea.