Hahahha[emoji125]Dah !!!
Hahahha shwaini zao(in Andjul voice) hawana lolote,, km walikuwa vzr kazi wangemaliza ndan ya dak 90 na sio hadi ET hatmaye mikwaju ya penaltSiri imefichuka kuwa Diego Costa alimtaka kocha Fernando Hierro kutompa nafasi ya kupiga penalti mchezaji mwenzake wa Hispania Koke.
Costa alikwenga kumnong’oneza Koke akimtaka kutompa nafasi Koke kupiga penalti katika mchezo ambao Hispania ilingoka kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya Russia.
Mshambuliaji huyo alimwambia Koke hana rekodi nzuri ya kupiga penalti kwa kuwa anamtambua vyema katika kikosi cha Atletico Madrid.