andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu ni lazima kuiweka akili katika mazingira ya kupokea kila kitu(kiwe kizuri au kibaya).Ahsante Mungu naendelea vizuri japo cha yote haya ni weweVipi hali ya Andjul. Is he OK psychologically baada ya sekeseke la jana? Nimeona ameanza kuimba injili. That's good for his soul...[emoji23][emoji23][emoji23]