Naona tunapishana kwenye korido kama hatujuani jamani[emoji3] [emoji3] [emoji3] look. Tusalimiane bibie[emoji55][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasema?? View attachment 802741
Sijambo kaka moud, habari yako?Hujambo bibie ledada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona tunapishana kwenye korido kama hatujuani jamani[emoji3] [emoji3] [emoji3] look. Tusalimiane bibie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujasikia ama?[emoji55][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasema?? View attachment 802741
ledada...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani kwa kupita bila salamu moud [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23]Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujasikia ama?
Bee andjulledada...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Tuwache na vipara vyetu [emoji23]
Nami nisamehe,maana mimi na wewe ni ndugu na marafiki pia, haipendezi kupitana kama hatujuani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani kwa kupita bila salamu moud [emoji120][emoji120][emoji120]
Mzee wa tukuyu usimtishe ledada wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3]ledada...
Shwaini zako. Bee bila shikamoo ina maanisha nini? Jakitoo yuko wapi? Nawahitaji wote kule... Kuna kitu nimeona halafu mnanichanganya ujue...Bee andjul
Kwa kweliNami nisamehe,maana mimi na wewe ni ndugu na marafiki pia, haipendezi kupitana kama hatujuani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa tukuyu usimtishe ledada wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Samahani baba [emoji120]Shkamoo mzee, jakii kalala ..watuhitaji wapi mzee? Ni nini kimrkuchanganya?Shwaini zako. Bee bila shikamoo ina maanisha nini? Jakitoo yuko wapi? Nawahitaji wote kule... Kuna kitu nimeona halafu mnanichanganya ujue...
[emoji124] [emoji124] mhhh!!! Mambo ya pwani "mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio "Nami nisamehe,maana mimi na wewe ni ndugu na marafiki pia, haipendezi kupitana kama hatujuani
JE WAJUA??
KWAMBA MWANAUME KUTUMA VOICE NOTE KWENYE GRUP BILA SABABU YEYOTE NI SAWA NA KUPITA MBELE YA WANAUME WENZAKE NA KUTINGISHA MATAKO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unawapeleka wapi sasa usiku wote huu we mzee?Shwaini zako. Bee bila shikamoo ina maanisha nini? Jakitoo yuko wapi? Nawahitaji wote kule... Kuna kitu nimeona halafu mnanichanganya ujue...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kizuri kula na mwenzioMzee wa tukuyu usimtishe ledada wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3]