Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wangekuwa Dar ningeishia nao Shuga ray Sokota... Damu changa hii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Achana naye huyo, hana adabu shilingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa tukuyu ni muharibifu eenh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nilikofika kuna nini mzee, nataka niende naye ufukwe wa feri tukapunge upepo tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]si zaidi ya hiloWeee mzee!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ndio umefikia huko!?!!!
Mkuu unaniharibia mwenzio. Hii damu changa hii ya kipindi cha vyama vingi inahitaji utulivu hasa, ahadi nyingi za maisha mazuri, gari, nyumba, na autingi zisizo na kikomo...Unaenda kuwafundisha maadili mabaya watoto, waache hapahapa
Mtaa wa yombo, mtoni, leo, uzuri, miteja, ruvuma, madenge, evaret nk. Daaa kitambo sana mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi ni mtoto wa Toroli, Ndalala, Sokota, Mombo, Njinjo, n.k. utoto na ukubwa nimeupitia kwa haki.