Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nashukuru rafiki mpenzi, natamani nikuimbie mashairi matamu kisha nikupigie zeze lakini mzee muharibifu wa tukuyu yupo hapa ataharibu kila kitu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa tukuyu ni muharibifu eenh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa tukuyu ni muharibifu eenh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anaitwa kivuruge, nikianza kukumwagia mashairi matamu hapa ataanza kupiga kelele ili usisikie, akiona haitoshi atakushika mkono akuondoe hapa akupeleke huko,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…