Kasema kule pako vizuri huku keshapasahau[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumuombe Numbisa amrudishe kakaake huku. Muda mwingi wapo wote kule
Nimezaliwa mitaa hiyo mkuuMoud ww noma sana [emoji23][emoji23][emoji23] kwa mitaa
Sokota nilishakoswa koswa kufumaniwa. Mtaa wa hovyo kabisa ule [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shuga ray na sokota,,, aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu tatizo hautaki twende tukajikumbushie mitaa hiyo. Naikumbuka mitaa ya dada yake Kikwete karibu na shule... Kwa mshikaji.
Madenge kwa mhuni fundi simu... Dahhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee, huyu mzee ni balaaAkishakula hashua za mbuzi mambo huwa ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 802838
Hata wakati JF inapotea alikuwa na karibu mwezi hajakanyaga hukuKasema kule pako vizuri huku keshapasahau[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sokota nilishakoswa koswa kufumaniwa. Mtaa wa hovyo kabisa ule [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Niliona alisema alikua busyHata wakati JF inapotea alikuwa na karibu mwezi hajakanyaga huku
Mkuu ww mbona hulaliHivi wanaume wa huu uzi wote hamnaga wake???
00:00 mwahangaika jf.
Ni ama uzi huu au huko kwenye mabaa na Kona baa. Wake zetu wameturuhusu kuwa katika uzi huu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hivi wanaume wa huu uzi wote hamnaga wake???
00:00 mwahangaika jf.
Kijana!!!!! Umekuwa advanced... Hadi kimboka?!!!Hahaha inaweza kuwa mkuu,,, maana hyo mitaa na ile ya kimboka
Aseee,, nmekaa mitaa ya uhindini kwa muda flani hvNimezaliwa mitaa hiyo mkuu
Hashua tu... MkuuYaaa, eneo la kujidai l andjul hilo,