andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Usipo hudhuria pale wewe sio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliwekeza hadi tulikuwa tuna fuatwa getto... R.i.p Masalu Mayeka.Unawakumbuka wale wauza K pale mtaa wa mtoni na pale mtaa wa Leo?? Yani lile kabila furani pale kichochoro cha mtaa wa leo? Mkuu ni shiidaa