Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumwomba Mungu.
Mtu anapaswa kumomba Mungu kadiri ya imani yake, kwani kila mtu anaamini Mungu yupo. Mtu anapaswa kumwomba Mungu ampatie afya, amani, utulivu wa akili na nafsi na mkate wa kila siku; kwani vitu hiyo ni bora kuliko kumiliki mali zenye thamani kubwa kama tani kadhaa za dhahabu.
 
Sura hata mimi tupa kule. Kama mtimbwiliko upo ukiliminya minya linajirudi kama sponji nyevunyevu korofi basi ni kanyaga twende. You slap it and you watch it vibrate in slooo mo....dah !!!
Hahahahaha, jamaa zangu mmedata. wana sema sura hata mbuzi anayo, sema amekosa mbwembwe za kwenye 6x6. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…