Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
safi kabsa Pyaar,, habari za huko? u mzima wwMambo
safi kabsa Pyaar,, habari za huko? u mzima wwMambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Quadruplets[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu baada ya miezi tisa?
Huku kwema kabisa...Uzima upo namshukuru Mungusafi kabsa Pyaar,, habari za huko? u mzima ww
Kwa uchambuzi huo sidhani kama akili imedumaa...Ona kama sasa tangu asubuhi watu wanajadili uji mweupe mzito wenye chumvi na protini kibao unaogeuka na kuwa maji usiponywewa ukiwa wa moto. Akili hapo kweli zitaacha kudumaa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jizazi...Hapo mpaka ukiachanishe ndo utaweza kukitafuna, vinginevyo labda uanzie huko chini.
Kalisema kalikuwa darasa la pili ama la nne?Umenikumbusha mbaalii 2007 kifo cha Madilu na ile story yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amina [emoji120] [emoji120]tuko hapa kwa ajili ya kuongeza furaha....
HahahahahJizazi...
Uzi huu una mizimu...
Ulikuja huku juzi juzi hapa ukiwa innocent kabisa tukawa tunakucheka leo hii waachanisha mpaka viazi. Godi helupazi !!!
Najua utakunja sura kwa raha unavyokumwagikia.Hahahhahaha!, Hiyo roho mbaya sasa....Si nitaungua?
Yegomasika[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] mkuu habari ya siku nyingi?Hivi we Mnyaki hujaacha vituko tu? Najua ukikua utaacha! [emoji1][emoji1]
Umewahi kunishuhudia nanyoa?Kwani bado mdogo?? Au mpaka akue vipi?
Kwema tabhani?