myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aseee, lakini ni kweli, kile kiazi sikukiona mpaka ulipokifichua[emoji3] [emoji3]Hahahaha! Ungefaudu vipi kama nisingeiiba?
Wizi wa faida.
"Watu, Ardhi, SIASA SAFI na uongozi bora"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]usiku uji mchana parachichi......
kweliiiNYANI MZEE AMEKWEPA MISHALE MINGI, VIVYO HIVYO, MTU MWENYE MAFANIKIO AMESHINDA CHANGAMOTO NYINGI.
Uji mweupe, uji wa mchele[emoji3] [emoji3] [emoji3] uji wa moto[emoji3] [emoji3] wapi ledadausiku uji mchana parachichi......
kila jambo na wakati
uzi huu sio wa mchezomchezo...
hatuko hapa kwakua hatuna pa kwenda...
hatuko hapa kwakua hatuna hatuna cha kufanya..
[emoji109] [emoji109] [emoji109] nipe gwalatuko hapa kwa ajili ya kuongeza furaha....