myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hauta kufaa kitu, mafarao waliishi maisha ya ujima, wakiamini kuna maisha kama ya Duniani baada ya kifoUkitaka unaweza ukazikwa na utajiri wako wote. Mafarao wa Misri ya kale mbona waliweza?
Jamani[emoji23]Umeanzisha kanisa lako ama? Umeshaacha kufundisha vianafunzi vyako vioga kwenye lile darasa lako lililopambwa kwa maua yenye uturi sisimshi na muziki laini wenye kuchochea upikaji wa uji?