ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mpito
Inategemea na wewe unachukuliaje.maana yake...mwanzo wako ni wapi na mwisho ni wapi?Kwa hali iliyomo humu kuna watu hata sijui kama wanajali mwanzo na mwisho wa siku. Uzi huu kiboko!