Aisee wee acha tu. Nimetoka huko inasoma 23°c nafika huku saa hizi inasoma 9°c kama utani vile.Baridi naona nchi nzima mkuu
Duh!!!*Padri alikuwa anafuga kuku.* *Siku moja jogoo akapotea*. *Basi akaamua kutangaza Kanisani.*
*PADRI: Wangapi wana jogoo?* *Wanaume wote wakasimama.*
*PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi* *wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.*
*PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni!* *Wangapi wamemuona jogoo wangu??* *Masista wote wakasimama.*
*PADRI akapoteza fahamu...!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Vijana tusiharibu lugha bhana
Mkuu nafuatilia huu mjadala kwa kinaIpo Play Store? Maana ile siku umetuulizia kama tumeipakua, nilienda Play store sikuiona
Funzo. Ahsante sanaPanya mmoja alimeza dhahabu. Mmiliki wa dhahabu ile ikabidi amuite kijana amsaidie kumuua panya yule aliyemeza dhahabu. Baada ya kijana huyu kufika kwa mmiliki wa dhahabu akakuta panya wengi, ila mmoja alikuwa amejitenga pembeni.
Kijana yule akamuua panya yule aliyejitenga, na bahati nzuri ndiye huyohuyo aliyekuwa amemeza dhahabu. Mmiliki wa dhahabu kwa mshangao akamuuliza kijana amewezaje kumjua panya yule kuwa ndiye aliyemeza dhahabu wakati kulikuwa na panya wengi?.
Kijana akajibu, ni kawaida tu kwani hata binadamu akifanikiwa kimaisha basi hujitenga na wengine na kuwaona si hadhi yake.
FUNZO:
Mungu akikuinua kimaisha usiitumie nafasi hiyo kuwaumiza au kujitenga na watu wengine walio na kipato cha chini kwani kujitenga kwako ndio inaweza kuwa chanzo cha kushushwa zaidi.!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mkuu umenichekesha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti tulio dumaa akili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule jamaa shwaini kabisa.
Sijambo....vipi habari yako?Hahaha hatari hujambo consuela
Aisee nipo sehemu baridi yake naona -12 hatari yaani hapa mtu na mtu mpka atoke mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] [emoji137] [emoji137] niaje kiongozi