Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulisema ungekuja huku sehemu ya mgodini, nilivyo ondoka sikuona haja ya kukujulisha nikajua tutakutana huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu napenda mambo mazuri yaani nikija huko sina gharama nakuja vat 69 za kutosha kwenye buti mambo mengine najua utaweka sawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu napenda mambo mazuri yaani nikija huko sina gharama nakuja vat 69 za kutosha kwenye buti mambo mengine najua utaweka sawa
Ni vya kuchoma tu.... Wana hapa ndo kazi yao kulipua jiko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najisikia furaha ninapo wakuta na wanavyo nipokea. Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…