myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:10
Wamiliki wake baba na mama Rip sasa vijana wamepakarabati ndio maana inaitwa New chako pale pale pa siku zoteIle ya zamani walivunjaga...hiyo New ipo pande zipi?
Pamoja mkuuNi vya kuchoma tu.... Wana hapa ndo kazi yao kulipua jiko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najisikia furaha ninapo wakuta na wanavyo nipokea. Karibu sana
Amesema anapenda "uji" nami ni mzalishaji mzuri wa "uji" wa parachichi [emoji23] [emoji23] [emoji23]akuje tu, amu availabo
Aha kumbeWamiliki wake baba na mama Rip sasa vijana wamepakarabati ndio maana inaitwa New chako pale pale pa siku zote
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinilishe manenoKibiti