[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124]kutongoza kijijini kaaaz kwelikweli, nimeenda nikamwona mtoto mzuuuri, nikaanza kumpa mistari, akakaa sawa, akaniomba twende mtoni.. kufika tu akaanza kuvua,[emoji1][emoji1] aaah kuona vile namimi nikaanza kuvua[emoji16][emoji16] tulipomaliza tu kuvua ye akapata samaki wa5 mimi wa2, tukarudi home.. [emoji15][emoji15]umetoa macho ulijua tulivua nn?Huna maana wewe
..
Ni moto,Fire fire
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee wee acha tu. Nimetoka huko inasoma 23°c nafika huku saa hizi inasoma 9°c kama utani vile.
Lini unakuja huku?
Wacha weeeAisee nipo sehemu baridi yake naona -12 hatari yaani hapa mtu na mtu mpka atoke mtu
Ukigusa hapa ni likes bila chukiHaahaa unawezaa kuta hata bashite mnaomchukia amecomment hapa na Mme MPAA likes..