●Heshima na unyenyekevu ni nguzo kuu kwa mwanamke yeyote yule ili kusimamisha/kudumisha/kuimarisha mahusiano/ ndoa.
Hakuna mwanaume mkorofi kwa m/ke mnyenyekevu. Hakuna m/me mgumu kwa mwanamke mnyenyekevu...Hakuna kabisa.
M/ke anayo nguvu ya kuweza kumburuza m/me kufanya chochote (kizuri/kibaya).
Anaweza kumfanya m/me akampenda Mungu sana ama anaweza kumfanya akaachana kabisa na Mungu.
Hata polisi wanalijua hili, hata jambazi aliyeshindikana kukamatwa na polisi kwa silaha humtumia mwanamke na mwanamke humkamata tena kiulaini kabisa kama vile kumuangusha tembo kama ubua.
*Kinachomlegeza mwanaume ni unyenyekevu wa mwanamke.
Waamuzi 16:4......
##Mwanaume anahitaji kubembelezwa##
##Viburi na ubabe ni sumu kwa mwanaume##
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.