Kazifakamia kwa kasi naona. Kumtoa hapo sasa hasa kama hata kutembea hawezi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona kaegesha.
Bro mbona unacheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bro mbona unacheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usukumani aisee ilikuwa funga mwaka. Ngoma za kila aina halafu kila mtu jioni na mzigo wa miwa. Mataya yalikuwa yanauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sabasaba ilikuwa si mchezo
Hiyo kauli ya ngosha imenichekesha. Kila limjialo akilini ye anatwanga tuBro mbona unacheka
Aseee,Usukumani aisee ilikuwa funga mwaka. Ngoma za kila aina halafu kila mtu jioni na mzigo wa miwa. Mataya yalikuwa yanauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
*UJUMBE WA LEO*
1 Yohana 4:7
*"Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu."*
MUNGU AKUBARIKI
Dii siwezi kumsahau eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa kumsahau huko diii
*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
*SASA ONA MAAJABU...*
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda.
Niliwahi shuhudia 77 moja usukumani ilikuwa ni shida.. ni mwendo wa kupishana na baiskeli zimebeba mbuzi..Usukumani aisee ilikuwa funga mwaka. Ngoma za kila aina halafu kila mtu jioni na mzigo wa miwa. Mataya yalikuwa yanauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatamani jibu liendane na hali halisi