Labda uje na njia nyingine sio ya magazeti, ila kulimanage fekero watu wasikujue sio kazi rahisi lazima utajichanganya tuIla siku nikitengeneza fekero hamtanijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jitahidi hata ka piriton japo kwa wengine huwa hakawaponyeshi kuna dawa nyingi nzuri za mafua na kikohozi kikavu. Tatizo sio kila mtu anaponyeshwa kwa dawa anayoambiwa mtandaoniAisee! sawa mpendwa ngoja nijitahidi kufanyia kazi hili swala. Asante kwa ushauri
Jambo la kheri. Tukubaliane hali lasivyo tutaumia na suluhisho hatutapata. Kwa upande wangu Mungu anazidi kutenda kwa kweli,namshukuru kwa wema wake.Siku hizi sina stress maisha murua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]za majukumu shwari kabisa,za ulipo,familia haijambo?
Nikweli kama mimi hizo piriton huwa hazifanyi jambo ili huwa kuna Coldril kidogo naonaga zinajitahidiJitahidi hata ka piriton japo kwa wengine huwa hakawaponyeshi kuna dawa nyingi nzuri za mafua na kikohozi kikavu. Tatizo sio kila mtu anaponyeshwa kwa dawa anayoambiwa mtandaoni