Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umemharibu Shimba wetu,naomba ujutie kwa hili.
Nimemuona Shunie alfajiri alivyo shtuka kumuona msukuma wake anaipekua pekua misambwanda...
[emoji124] [emoji124] mimi nikajichekea tu na kusema hiiiiii...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una bahati sina kipaji cha kubwatuka hadharan kama bwana naniliii

Nyie ndo mmetuharibu kwa chama chenu cha chawamita. Shukran kwa cole na poti kwa kuanzisha chachawa ikapunguza makali ya chawamita[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom