Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

USWAHILI kuna utani sana. Si unajua mashabiki wanaoshabikia timu za Ligi Kuu England, hasa hizi za Arsenal na Manchester United wanapokuwa pamoja, utani unakuwa sehemu kubwa ya mazungumzo yao?
Basi bana, mashabiki hao wameamua kuhamishia huo ushabiki wao kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 zinazoendelea huko Russia, ambapo kwa sasa zimeingia kwenye hatua ya robo fainali.
 
Mjadala wao ni wachezaji wa timu gani wanaoongoza kwa mabao kwenye fainali hizo. Ndipo hapo wakaorodheshwa mastaa wa timu kibao, huku Arsenal ikiwa na mchezaji mmoja tu, aliyefunga bao kwenye fainali hizo, Granit Xhaka, huku Man United wakitamba kwao wao wamefunga mabao saba.
 
Back
Top Bottom