Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Nipo!Wapi pyaar
Nipo!Wapi pyaar
Ulikuwa umewekeza na swedenPoor Sweden
Sawa mkuu kule nitakuwepo wakati wa game ya Russia na CroatiaUsiku niliwatafuta huku nikawakosa... Lakini sasa nimefurahi kwakuwapata..
NipoPyaar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lina wati
Hahahaha pyaar una vituko wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani..Ngoja tusubiri Croatia ajichanganye
Umempiga muhindi?Muhindi tumbo moto hahahaha
Acha kabisaTutakoma na magazeti ya kesho
Hapana mkuu sikuwekeza pesa sema niliwekeza muda tu nikidhani nitaona mpira mzuri watu wenyewe wanacheza kama wagonjwa wa mabushaUlikuwa umewekeza na sweden
Hahahaha bado hajamjuaUmemuona Ntolilo?
Yap timu nzuri wanaweza zima ndoto za England kucheza final tangu 1966Tusubiri baadae mafundi Croatia
NimekuonaNipo!
Hahahaha naona kabet vibayaUlikuwa umewekeza na sweden
Huyo nilimjua kitamboHahahaha bado hajamjua
Tusubiri tuone kama pati itakuwepoNipo
England mdogo mdogo mpaka watafika fainali ingawa Mara nyingi huishia nusu, hata hivyo nina imani nao mwaka huu kwa jinsi walivgoingia kwenye mashindano hayaEngland wanapeta
Leo kaliwaUmempiga muhindi?
Hila Jana majangaUmempiga muhindi?
Hahahaha mkuu umeua kabisaHapana mkuu sikuwekeza pesa sema niliwekeza muda tu nikidhani nitaona mpira mzuri watu wenyewe wanacheza kama wagonjwa wa mabusha
Hahahaha safi sana huku anatumia NumbisaHuyo nilimjua kitambo