Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
445417721_279692.jpg
 
Kakaako Shimba ndio umlalamikie,amelibatiza kuingia kundi moja na parachichi....Ila usiogope,linateleza sana ukianza kulila...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] werayuu mzee wa Fenesi[emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fenesi litateleza vipi Andjul? Nalijua sana fenesi.
 
Hili fenesi la Andjul na mtoto kipi kikubwa? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Wee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naonekana kama mtu hatari sana mimi... Wajukuu zangu humu wataanza kuniogopa.

Habari ya majukumu ndugu[emoji120] [emoji120]
Ahsante Mungu jwa wema wake ametukutanisha tena
 
Kakaako Shimba ndio umlalamikie,amelibatiza kuingia kundi moja na parachichi....Ila usiogope,linateleza sana ukianza kulila...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] werayuu mzee wa Fenesi[emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lina wati
 
Back
Top Bottom