Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D40AFE3B-D6F2-463E-A010-5217D7F8D9D4.jpeg
 
Mkuu huyu Jumbe Tambaza ndiye alikuwa mmiliki wa eneo la shule ya Tambaza ,S/m muhimbili mkp msikiti wa Tambaza ama jina tu
Jumbe Tambaza alimiliki shamba toka shule ya sekondari Jangwani, Azania, eneo ilipojengwa hospitali ya muhimbili,shule ya msingi muhimbili, shule ya sekondari Tambaza na maeneo ya jirani. Baada ya Uhuru alitoa eneo lake hilo ili yangwe hayo yaliyojengwa hapo. Dhana ya kutoa eneo la kujenga hospitali ilitokana na misingi ya ubaguzi waliofanyiwa wafrika wakati huo. Kwakuwa wazungu walimiliki hospitali yao. Ocean Road. wahindi walikuwa na yakwao Indian Hospital,( Hindu Mandal) kwa uchungu wafrika walidhamilia kumiliki ya kwao. Kwahiyo baada ya Uhuru Jumbe Tambaza alitoa eneo lake hilo ijengwe hospitali
 
Huku akiuliza "Ni Mungu yupi huyu mpumbavu?", Bw Duterte amekosoa hadithi ya Biblia kuhusu kuumbwa kwa dunia na binadamu na kufukuzwa kwa Adam na Hawa kutoka Shamba la Eden baada ya kula "tunda walilokatazwa".Huku akiuliza "Ni Mungu yupi huyu mpumbavu?", Bw Duterte amekosoa hadithi ya Biblia kuhusu kuumbwa kwa dunia na binadamu na kufukuzwa kwa Adam na Hawa kutoka Shamba la Eden baada ya kula "tunda walilokatazwa".
 
Wee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naonekana kama mtu hatari sana mimi... Wajukuu zangu humu wataanza kuniogopa.

Habari ya majukumu ndugu[emoji120] [emoji120]
Ahsante Mungu jwa wema wake ametukutanisha tena
Waanze kukuogopa? Au ndo watataka kutest zali? Kizazi hiki ni cha kuogopa kitu hichi? Utashangaa fenesi lote linapoteleamo na mihemo wala haibadiliki...Tena ndiyo waulizwa kwa sauti ya puani "Imeingia yote?"

Halafu leo sijui nina nini leo. I need to calm down...Baadaye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ushakutana Na LILE FOLENI la Dar?? .... Yaani UTAONA wale Wenye MAGARI mazuri ZURI kama V 8, RaNGe rover Wale WANAUZIWA Magazeti, afu hawa Wenye Tax , toyota, Noah na NK wanauziwa MAHINDi

ILA sie wa KWENYE Daladala TUNAUZIWA Dawa za Mende, Kunguni, mitego yaPANYA na Dawa za MENO, HIVI Machinga HUWAGa wanatuchukuliaje???[emoji23][emoji23][emoji23] ila Sawa Tu kikubwa Uzima
 
Waanze kukuogopa? Au ndo watataka kutest zali? Kizazi hiki ni cha kuogopa kitu hichi? Utashangaa fenesi lote linapoteleamo na mihemo wala haibadiliki...Tena ndiyo waulizwa kwa sauti ya puani "Imeingia yote?"

Halafu leo sijui nina nini leo. I need to calm down...Baadaye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejaribu kuvuta pichaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jumbe Tambaza alimiliki shamba toka shule ya sekondari Jangwani, Azania, eneo ilipojengwa hospitali ya muhimbili,shule ya msingi muhimbili, shule ya sekondari Tambaza na maeneo ya jirani. Baada ya Uhuru alitoa eneo lake hilo ili yangwe hayo yaliyojengwa hapo. Dhana ya kutoa eneo la kujenga hospitali ilitokana na misingi ya ubaguzi waliofanyiwa wafrika wakati huo. Kwakuwa wazungu walimiliki hospitali yao. Ocean Road. wahindi walikuwa na yakwao Indian Hospital,( Hindu Mandal) kwa uchungu wafrika walidhamilia kumiliki ya kwao. Kwahiyo baada ya Uhuru Jumbe Tambaza alitoa eneo lake hilo ijengwe hospitali
Asante mkuu kwa madini haya
 
Back
Top Bottom