Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E528B20D-1100-474F-BEB4-4A979B6CDAAC.jpeg
 
Kaliogopa eeeh! Si ajabu ndo kanafunzi bora kabisa umekabobesha kwenye taaluma adhimu ya kuzalisha uji mweupe mzito wa moto kwa kutumia nishati ya feni za upepo wa mauno. Haya mambo ni magumu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii....Eti feni za upepo wa mauno.[emoji23][emoji23][emoji23]Pangaboi
Kadenti kako kamesimamia ukucha, we umechochea feni. Sipati picha [emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji125] [emoji125] [emoji350] [emoji350] ujiiiiiii....ujiiiiiiiiii....
tapatalk_1530680763236.jpeg
 
Back
Top Bottom