Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi walishawahi kumtukana Mungu. Yeye siyo wa kwanza....

Na inavyoonekana ana matatizo kwa sababu hajaanza leo wala jana hizi tabia za ajabu ajabu ikiwemo kuua watu hovyo hovyo bila kufuata sheria. Girly dictator!!!
Tangu enzi Ferdnand Marcos taifa hilo lina bahati ya kupata viongozi ambao ni vichwa maji, ukimuacha mama Groria Aroyo na mtangulizi wa Joseph Elestrada
 
Back
Top Bottom