Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah!! Ntajaribu moja baada ya nyingine mana nimepewa dawa nyingi kweli, kuna mtu kaniambia nifanye mapenzi nitapona
Waaaowww mambo ya kiwanzensaaaaaaa mmmhhhh aiiiii chafyaaaaa mafua yote chali,hio dawa ya pili tamu sawa.

Uwe na usiku mwema wa uji siku mtamu kabisaaaa uji bila sukari inawezekanaaaaa hata asali inaweza tumika kama mbadala wake uwiiii watu wanafaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…