Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180630-121234.jpg
 
1.Kila mmoja anaruhusiwa kukwea jukwaa harusini.
Atakaye kuzungumza anaweza hata iwapo sio sherehe yake ya harusi.
Kwa kawaida, ingawa kwenye sherehe za ndoa, ni baba, mama, au wazazi wa wanandoa pekee huruhusiwa kuzungumza, ni hali tofauti Sweden. Kila mtu anakaribishwa kuropokwa.
Jamaa wa karibu wa wanandoa, wakiwemo marafiki, majirani na yeyote, mwenye semi za kusema, anapewa nafasi kwenye jukwaa.
 
Hata hivyo saio kazi rahisi kwani hili husababisha sherehe za harusi kuendelea hadi saa sita za Usiku.
Hata kama huna la kusema, unakabidhiwa zamu urushie mawili matatu ya kuwafurahisha au kuwaliza waalikwa kwenye hafla ya harusi.
AIdha, ndoa za Sweden hazina mtu aliyechaguliwa kuandamana na bi harusi au bwana harusi kwani wanahisi na kuamini haina umuhimu.
 
2.Wototo hula peremende pekee siku ya Jumamosi

Ingawa raia wa Sweden wanaongaoza kwa ulaji wa peremende duniani, watoto wa taifa hilo, hawajaathiriwa na uharibifu wa meno.
Siku ya Jumamosi nchini Sweden inafahamika kuwa "Lördagsgodis" au "Jumamosi ya peremende".
Tamaduni hizi zimeanzishwa miaka ya 1940s na '50s na madaktari wa meno wa taifa hilo.
Kulingana nao, ni vyema kwa afya kula sukari ya wiki ndani ya siku moja kuliko kula vipimo vidogo kila siku katika wiki.
 
Back
Top Bottom