Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180701_123108.jpg
 
Ingawa pesa ni kitu chenye thamani, kwa raia wa Sweden, ni karatasi zisizo na maana.
Vilevile, pesa taslimu hazitumiki kila sehemu.
Mikahawa, na hata maduka huruhusu kadi pekee.
Hata benki hazimhruhusu mtu kutoa au kuweka pesa zake.
Hata mafukara wa Sweden wamejihami na mitambo ya kadi ya benki kwani hakuna anayewapa pesa.
Hii ni kwa sababu wanaamini kuwa hali hiyo inapunguza viwango vya uhalifu.
Hata mwimbaji wa wimbo 'Money Money Money - wa kundi la ABBA, Björn Ulvaeus, amekuwa akiishi na kutembea bila pesa tangu mwanawe alipoibiwa pesa zake na majambazi.
 
Kila mtu anayelenga kusoma, Mazingira anayoyastahili ni tulivu na yasiyo na kelele.
Hapa Sweden ni kinyume kabisa.
Pindi wanafunzi wanapochoka kusoma au wanahitahi mapumziko mafupi baada ya muda mrefu wa kusoma, wanaruhusiwa kutoka nje na kupiga kelele.
Kila usiku ifikapo saa nne za usiku, Wanafunzi katika chuo kikuu cha Uppsala, wanapewa nafasi katika barabara moja iitwayo Flogsta ambapo wanatoka nje na kupiga mayowe.
"nduru za Flogsta" zimeenea hadi vyuo vingine taifa hilo.
 
Uhusiano wa Waswidi na pombe sio wa kuzungumziwa.
Yaani, imefika kiwango ambacho walilenga kupiga marufuku mnamo 1920.
Baada ya marekani kupiga marufuku unywaji pombe, Sweden nayo iliitsha kura za maoni.
Ingawa kura hiyo ilishindwa na waliopinga kuzuiwa kwa pombewakiongozwa na msanii Albert Engström, aliyewaambia raia kuwa iwapo ingepigwa marufuku, hawangejivinjari walivyozoea.
Tangu hapo, uuzaji wa pombe umegubikwa na sheria kali zinazolenga kupunguza utumiaji wake.
Ni marufuku kufanya 'ofa' za pombe au hata matangazo ya kupunguza bei.
Haya yanalenga kuzuia uwezekano wa pombe kuwavutia watu na kuishia kutumia vinywaji hivyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah wewe mzee wewe sio nyagi kabisa au njoo kwenye mambo yangu vat 69 yaani hii ukipiga mafua yote kwisney
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap mzee Gilesi Muroto huyu hapa... Kijana fungua buti,hizi chupa za vieitii sita kenda naona umejaza petrol... Huoni kama una hatarisha usarama wako. Sasa upo mikononi mwangu..."Utapata taabu sana" nilu dauni...
 
Back
Top Bottom