Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ubunifu ni nguvu mtu anayoibua kutoka katika taswira, taswira ya kitu kinachoonekana. Ubunifu ni bora kuliko kuwa na maarifa kwani, maarifa yana kikomo ili hali ubunifu hutapakaa ulimwenguni kote, huchochea mabadiliko yanayozaa maendeleo.
 
Mbele ya kiuno feni lazima ukatwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna yule kijana alisema bila mauno feni hawekezi aje kuthibitisha hili tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna aina kuu mbili za ubunifu, nazo ni;
1) Ubunifu sanisi.
Katika aina hii ya ubunifu; mawazo, fikra na mipango aliyonayo mtu hupangwa katika mfumo mpya na tofauti. Aina hii hutegemea elimu na uzoefu alionao mtuu juu ya fani fulani.
 
Cc Davet na kucha zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Davet njoo ujionee maajabu huku
 
2) Ubunifu kipaji.
Aina hii huvuta hisia na maono pamoja, hujengwa na jinsi mtu anavyopokea na kujibu yale anayoambiwa na mazingira. Ubunifu huu hautegemei uzoefu alionao mtu, bali elimu kidogo juu ya nyanja fulani. Ubunifu huu ndio chanzo cha ugunduzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya nenda ukalale sasa
 
Jinsi ya Kijenga Ubunifu.

1) Kuchangamsha akili kwa kusoma.
Kusoma ndio njia ya kuaminika yenye kukuza vipawa na siri zilizofichika katika katika dunia.
Mtu anapaswa kusoma yale yanayonfanya afikiri kwa kina, yanayotoa changamoto juu ya imani ya mtu na kuonyesha njia fasaha ya kufuata. Kumbuka siri za dunia zimefichwa kwenye maandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…