Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maza ni mpenzi wa mziki mzuri hasa ngoma ya Kumwambia ndio alichukua albam kwaajiri ya hiyo tu, ata juzi nilivyoipata hyo ngoma nilimtumia hakuamini masikio yake mana nilimkumbusha mbali sana....

[emoji445]Simu nikipiga mpenzi anakata na kufunga, watu nikituma waje nao anawatukana [emoji445]
Hahahha asee,, yale mashairi yanaishi hadi leo bro
 
Back
Top Bottom