Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!!Usiku wa kupeana
Hahah!!Usiku wa kupeana
Hahah!! JamaniChafyaaaaaa usiku wa kunywa dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah!! Sawa mkuuHahahaha aisee hii ndio Mara ya kwanza kusikia lakini ungetumia hata vinywaji vikali navyo poa sana
KaNumbisa sijui leo kamekula nini?Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha watu wapigane miti akili zikae sawa
Ni kubwa au kama zile bajaj za mara ya kwanza?Kesho ndege yetu inakuja
Eeeh jamani nyie leo kunani?Usiku wa miti.
Screenshoted for future useUsiku wa miti.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha watu wapigane miti akili zikae sawa
Hahah!! Asante sana bro, kwanini wanaitaga ugonjwa wa mapenzi?Aisee,,, pole sana Bro,,, mafua ugonjwa wa mapenzi
Hata sijui bro,, huwa nasikia tu wanaita hvyoHahah!! Asante sana bro, kwanini wanaitaga ugonjwa wa mapenzi?