Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha mama ako alikuwa mtata asee,, sema hyo kamwambia waliimba mashairi ya Ukwel sana
Maza ni mpenzi wa mziki mzuri hasa ngoma ya Kumwambia ndio alichukua albam kwaajiri ya hiyo tu, ata juzi nilivyoipata hyo ngoma nilimtumia hakuamini masikio yake mana nilimkumbusha mbali sana....

[emoji445]Simu nikipiga mpenzi anakata na kufunga, watu nikituma waje nao anawatukana [emoji445]
 
Back
Top Bottom