Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aseee, starehe za watu zimevurugwa[emoji3] [emoji3] pipi ziliwe kwa uangalifu
HPV virus yupo kwa kila mtu na mara nyingi hasababishi matatizo. Tatizo ni immune system ikidorora au ukichanganya madesa na kuwa na virus vyenye strain mbalimbali. Kuna mvuvumko mkubwa kwa Trump kuwachanja mabinti wanaokaribia balehe ili kuwakinga na cervical cancer - kansa mbaya sana ambayo pia kwa kiasi kikubwa inasababishwa na huyu huyu HPV virus...

Moral of the story: Kuwa na mtu mmoja tu wa kummumunya au kumkorogesha uji. Vinginevyo ni hatari !!!
 
FB_IMG_1531036566074.jpg
 
Watu hawakubali kushindwa, kwa sasa ni kama mashindano. Kila moja anataka kulamba pipi
 
Hapo mwisho ndo pa kuzingatia..
 
Watu hawakubali kushindwa, kwa sasa ni kama mashindano. Kila moja anataka kulamba pipi
Stori za vijiweni. Bila kufakamia machumvi ya uvinza we hujawa mtaalamu. Watu wamesahau kuwa misafara ya kwenda kuvuna chumvi Uvinza ilikuwa hatari sana na wavunaji wengi walikuwa wakiuawa na Wamasai na hata kuliwa na wanyama wakali. Zilikuwa ni safari za wachache tena wale mashujaa wakakamavu. Leo hii kila mtu anataka kwenda Uvinza. Acha waadhirike [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom