Umeona mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu wanatoa ushuhuda hapa ohoo !!!
[emoji3] [emoji3]Baada ya Russia kutolewa
View attachment 805106
HPV virus yupo kwa kila mtu na mara nyingi hasababishi matatizo. Tatizo ni immune system ikidorora au ukichanganya madesa na kuwa na virus vyenye strain mbalimbali. Kuna mvuvumko mkubwa kwa Trump kuwachanja mabinti wanaokaribia balehe ili kuwakinga na cervical cancer - kansa mbaya sana ambayo pia kwa kiasi kikubwa inasababishwa na huyu huyu HPV virus...Aseee, starehe za watu zimevurugwa[emoji3] [emoji3] pipi ziliwe kwa uangalifu
Mkuu waonyesha ni mtaalamu wa michezo ya kubahatisha[emoji3] [emoji3]First time nimepoteza pesa forex lakini niligain baadaye the same betting ya soka ndivyo ilivyo WC hii naanimi ninachoamini Belgium hajaniangusha tangu kuanza kwa WC 2018
Inaelekea mwishoWeekend imeanza kuaga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
ALWAYS. Binadamu huwa tunajisahau tu..
Msamehe mkuuMadeniiiii ya mahari yanamkosesha raha [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu hawakubali kushindwa, kwa sasa ni kama mashindano. Kila moja anataka kulamba pipiHPV virus yupo kwa kila mtu na mara nyingi hasababishi matatizo. Tatizo ni immune system ikidorora au ukichanganya madesa na kuwa na virus vyenye strain mbalimbali. Kuna mvuvumko mkubwa kwa Trump kuwachanja mabinti wanaokaribia balehe ili kuwakinga na cervical cancer - kansa mbaya sana ambayo pia kwa kiasi kikubwa inasababishwa na huyu huyu HPV virus...
Moral of the story: Kuwa na mtu mmoja tu wa kummumunya au kumkorogesha uji. Vinginevyo ni hatari !!!
Hapo sasa hata sijui hahahaaaHahah!!
Mimi pia yamepoa ila bado yameacha wenge kwa mbaaaali...
Wewe umetumia dawa gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa hata sijui hahahaaa
HahahHapo sasa hata sijui hahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23], huyu bila shaka hata zile game huwa anakwenda kwa kujiriskMkuu waonyesha ni mtaalamu wa michezo ya kubahatisha[emoji3] [emoji3]
Hapo mwisho ndo pa kuzingatia..HPV virus yupo kwa kila mtu na mara nyingi hasababishi matatizo. Tatizo ni immune system ikidorora au ukichanganya madesa na kuwa na virus vyenye strain mbalimbali. Kuna mvuvumko mkubwa kwa Trump kuwachanja mabinti wanaokaribia balehe ili kuwakinga na cervical cancer - kansa mbaya sana ambayo pia kwa kiasi kikubwa inasababishwa na huyu huyu HPV virus...
Moral of the story: Kuwa na mtu mmoja tu wa kummumunya au kumkorogesha uji. Vinginevyo ni hatari !!!
Stori za vijiweni. Bila kufakamia machumvi ya uvinza we hujawa mtaalamu. Watu wamesahau kuwa misafara ya kwenda kuvuna chumvi Uvinza ilikuwa hatari sana na wavunaji wengi walikuwa wakiuawa na Wamasai na hata kuliwa na wanyama wakali. Zilikuwa ni safari za wachache tena wale mashujaa wakakamavu. Leo hii kila mtu anataka kwenda Uvinza. Acha waadhirike [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Watu hawakubali kushindwa, kwa sasa ni kama mashindano. Kila moja anataka kulamba pipi