Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1531037692796.jpg
 
Wanajikosea adabu wanapodhani mapenzi na wapenzi wao ni vipigo vya mara kwa mara. Mpenzi akikukosea mpige kwa upande wa kanga si kutoana ngeu[emoji3] [emoji3]
Alikwambia nani tunapigwa ???? Hiyo ni mipicha picha tu kama mipicha mingine....
Wanatupenda, tunawapenda, TUNAPENDANA.[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]

Khanga kitu gani watu tunachapwa kwa miti..
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahah!! Mule mule tu bro hiyo yangu tuki-iaproximate inakuja kwako. Kazi safi anko kakaza sana alafu usisahau kumpa heshima yake na braza angu baba Kim kwa mikono mitakatifu...
Hahahha nilijua tu lazma umzungumzie jamaa,, jamaa kapiga mkono wa hatari sana,, usisahau kuna visauti flan hv vnasikika kwa chn chn,,, jamaa kaplay part kubwa sana kwenye Nasir!! Credit kwake aisee
 
Hahahha nilijua tu lazma umzungumzie jamaa,, jamaa kapiga mkono wa hatari sana,, usisahau kuna visauti flan hv vnasikika kwa chn chn,,, jamaa kaplay part kubwa sana kwenye Nasir!! Credit kwake aisee
Hahah!! Shukrani mkuu kwakua muungwana juu ya hili swala aisee, bro mbunifu sana na anajua sema ndio hivyo anakera wadau kwa mambo yake madogo madogo
 
Back
Top Bottom