myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
LIKES LIKES LIKES LIKES LIKES........
Inaaga...Weekend tulikuwa nayo
Alikwambia nani tunapigwa ???? Hiyo ni mipicha picha tu kama mipicha mingine....Wanajikosea adabu wanapodhani mapenzi na wapenzi wao ni vipigo vya mara kwa mara. Mpenzi akikukosea mpige kwa upande wa kanga si kutoana ngeu[emoji3] [emoji3]
Hahah!! Mule mule tu bro hiyo yangu tuki-iaproximate inakuja kwako. Kazi safi anko kakaza sana alafu usisahau kumpa heshima yake na braza angu baba Kim kwa mikono mitakatifu...8/10 kwa upande wangu!! Classic
A and E bado sijaitilia maanani sana ngoja nitaikaziaIko vzr,, ndio inayofungua show,, kwangu mm Adam and Eve
Nipo sana ndugu, vipi za huko ulipo?Kwema, upo kiongozi
Kabisa mkuu maana madini yote yapo hukuHawataweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahha nilijua tu lazma umzungumzie jamaa,, jamaa kapiga mkono wa hatari sana,, usisahau kuna visauti flan hv vnasikika kwa chn chn,,, jamaa kaplay part kubwa sana kwenye Nasir!! Credit kwake aiseeHahah!! Mule mule tu bro hiyo yangu tuki-iaproximate inakuja kwako. Kazi safi anko kakaza sana alafu usisahau kumpa heshima yake na braza angu baba Kim kwa mikono mitakatifu...
Mmh! Hizi chumvi sio sasa, Mwezi mzima jamani?Hata sie mwezi mzima tulifungiwa na tcra
Isikilize bro,,A and E bado sijaitilia maanani sana ngoja nitaikazia
Hahah!! Shukrani mkuu kwakua muungwana juu ya hili swala aisee, bro mbunifu sana na anajua sema ndio hivyo anakera wadau kwa mambo yake madogo madogoHahahha nilijua tu lazma umzungumzie jamaa,, jamaa kapiga mkono wa hatari sana,, usisahau kuna visauti flan hv vnasikika kwa chn chn,,, jamaa kaplay part kubwa sana kwenye Nasir!! Credit kwake aisee
Poa nitafanya hivyo leo hii nikitulia mana sahivi nipo road, alafu kuna mwana alinipa mtihani ila nimeushindwa ngoja nikupe na weweIsikilize bro,,
Kuna muda inabd tu kumzoea alivyo ila kiukweli jamaa ni mbunifu sana,,, unaipata Watch Throne ile album au ile ya kwake GraduationHahah!! Shukrani mkuu kwakua muungwana juu ya hili swala aisee, bro mbunifu sana na anajua sema ndio hivyo anakera wadau kwa mambo yake madogo madogo