Trust me analijua"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"
Nimenukuu comment ya mdau mmoja huko...
[emoji673][emoji673][emoji673] Ni kosa kufanya hivyo? Huyu ninja hata hivyo anajulikana kwa vituko vyake na ni mpenda matani sana. Bungeni huko pia huwa vituko tupu. Cheo alichopewa kinataka umakini mkubwa. I hope analijua hilo !!!
ndio kwetuAfrica
MKUU TISHA SANA NATEGWA NA VITU KAMA HIVYO
Hahah!!MKUU TISHA SANA NATEGWA NA VITU KAMA HIVYO
Kwangu kwema kakaHahah!!
Salama sana mkuu, vipi kwako?
Kwema kweli? [emoji16]Kwangu kwema kaka
HII NI WESTWORLD,HILI LIZEE NALIELEWA KINOMA